Ngeleja apongezwe kwa hili

Ngeleja apongezwe kwa hili

Mfano,ngeleja alikuwa mwanasheria mkuu wa PricewaterhouseCoopers(PwC) kwa miaka 5.8 na Vodacom kwa miaka 5 hivi. Makampuni hayaajiri vilaza ka mnaolalamika hapa bali huajiri vipanga tu na huwalipa mishahara minono sana. Ngeleja pia ni Advocate tangu mwaka 1998 na anamiliki law firm iitwayo Legal Clinic Advocates tangu mwaka 2002 kabla hata hajawa Mbunge mwaka 2005.
Kama hujui umuhim wa mtu kama Ngeleja basi una matatizo. Mwaka huu bi peak yake kisiasa na Mwaka huu ni mwaka wa Vijana
 
Huo uwezo ulimnyeshea kama mvua au ulikuja baada ya kuliibia taifa akiwa wizara ya nishati!! Kwanini basi aliogopa kulichukua lile gari kama kweli hizo fedha alizonunulia hilo gari zilikuwa za halali!!! Huyu ni mwizi aliyezoea anayefikiri kwenda Magogoni ni njia ya kuendeleza wizi wake .
Unamponda Ngeleja ila moyo wako unampenda. Huu mwaka mtakufa kwa pressure
 
Unamponda Ngeleja ila moyo wako unampenda. Huu mwaka mtakufa kwa pressure

Ngeleja is not presidential material, anafikiri URAIS ni kwenda kuiba tu!!! Hana mvuto wa akili wala muonekano wa kuwa mkuu wa nch,i huko huko Sengerema kunamtosha!!!
 
Ngeleja is not presidential material, anafikiri URAIS ni kwenda kuiba tu!!! Hana mvuto wa akili wala muonekano wa kuwa mkuu wa nch,i huko huko Sengerema kunamtosha!!!

Hacha kupayuka tuuu.. kama Ngeleja hana presidential materials tuletee wa kwako km sio kimeo. Mtuache na kijana mwenye legacy Ngeleja
 
Back
Top Bottom