Sammo Hung
JF-Expert Member
- Aug 4, 2017
- 1,142
- 1,302
Fuga mbwa, nenda kariakoo sokoni pale juu utapata sumu.Habari za wakati huu!
Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza, ninasumbuliwa sana na wanyama waharibifu hususan ngedere shambani kwangu. Nimetumia mbinu mbalimbali mfano kuwatega mitego, kuwafukuza kwa kutumia mbwa n.k ila mbinu zote hizi zimefeli. Kwa yeyote ambaye anafahamu mbinu mbadala ya kuwadhibiti anifahamishe au kama kuna aina ya sumu ya kuwawekea isiyo na harufu pia itakuwa nzuri zaidi maana ni wajanja mno ukiweka sumu ya kawaida hawali wanasikia harufu.
Nawasilisha.
Mbwa imeshindikana mkuu, wanajigawa makundi ukienda na mbwa upande huu wengine wanaingia upande ule. Ningepata jina la sumu ingekuwa bora maana nipo mkoaFuga mbwa, nenda kariakoo sokoni pale juu utapata sumu.
Mbwa imeshindikana mkuu, wanajigawa makundi ukienda na mbwa upande huu wengine wanaingia upande ule. Ningepata jina la sumu ingekuwa bora maana nipo mkoa
Mshike mmoja usimwue wala kumjeruhi. Tafuta kakengele kadogo kama wanachofungiwa mbuzi ili wasipotee. Mfungie na mrudishe kwa wenzake. Hutawaona tena maana yule mwenye kengele akiwafuata watakuwa wanamkimbia nae kuwakibilia. Mpaka afe ndio utawaona tena.Habari za wakati huu!
Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza, ninasumbuliwa sana na wanyama waharibifu hususan ngedere shambani kwangu. Nimetumia mbinu mbalimbali mfano kuwatega mitego, kuwafukuza kwa kutumia mbwa n.k ila mbinu zote hizi zimefeli. Kwa yeyote ambaye anafahamu mbinu mbadala ya kuwadhibiti anifahamishe au kama kuna aina ya sumu ya kuwawekea isiyo na harufu pia itakuwa nzuri zaidi maana ni wajanja mno ukiweka sumu ya kawaida hawali wanasikia harufu.
Nawasilisha.
Mshike mmoja usimwue wala kumjeruhi. Tafuta kakengele kadogo kama wanachofungiwa mbuzi ili wasipotee. Mfungie na mrudishe kwa wenzake. Hutawaona tena maana yule mwenye kengele akiwafuata watakuwa wanamkimbia nae kuwakibilia. Mpaka afe ndio utawaona tena.
Mkuu hiyo mbinu inafanya kazi kweli maana nimeshawahi kuisikia mara kadhaa. Shughili itakuwa kumkamata akiwa mzima sasa..Mshike mmoja usimwue wala kumjeruhi. Tafuta kakengele kadogo kama wanachofungiwa mbuzi ili wasipotee. Mfungie na mrudishe kwa wenzake. Hutawaona tena maana yule mwenye kengele akiwafuata watakuwa wanamkimbia nae kuwakibilia. Mpaka afe ndio utawaona tena.
Asante mkuu kwa ushauriHao viumbe nawajua vizuri omba kibali upate siraha hata ikiwa Gobore angalau huwa waoga ukiua angalau mara moja kwa wiki huwa hawasogelei hilo eneo
Sawa mkuu asante kwa ushauriMbinu ya kwanza ni kupiga kuua mmoja kwa bunduki, akifa mmoja au wawili wanahama. Nenda kwa afisa wanyama pori aliyekaribu ili aifanye kazi hata ya kuwatisha kwa mizinga kadhaa.
Watu wa haki za wanyama watakuja mbio wakisikia huo ukatiliKamata mmoja au wawili wachune halafu ngozi uitundike kwenye mti hapo shambani.
Mkuu uko serious kweli au unatania.. yani nile ngedereMuue mmoja mchome na umle hapohapo Shambani huku ukiacha vimiguu na kichwa hawaji tena
Ngedere wasenge lazma atamng'ataMkuu hiyo mbinu inafanya kazi kweli maana nimeshawahi kuisikia mara kadhaa. Shughili itakuwa kumkamata akiwa mzima sasa..
Wana meno makali sana ukimshika anaweza akaacha jeraha alafu akatembeaNgedere wasenge lazma atamng'ata
eeh babuWana meno makali sana ukimshika anaweza akaacha jeraha alafu akatembea
Tengeneza horny speak rekord tangazo weka flash na solar piga play back inakuwa kama kariakoo. TANGAZO TANGAZO...ONYO KALI.....................NGEDELE ATAKAEKAMATWA ATAUAWA.Habari za wakati huu!