Maringo hayo ni yepi?Anaulizia mshahara hata maswali ya interview hataki kuyajua!!!! Kwa maringo hayo kazi ataisikia tu!!!
Hilo la salary expectation ni swali ataulizwa ndio maana anafanya utafiti ili asijibu kibwege bwege bila kua na basis ya jubu lake Mkuu.Anaulizia mshahara hata maswali ya interview hataki kuyajua!!!! Kwa maringo hayo kazi ataisikia tu!!!
Shule haijamkomboa huyo ndugu yako kama sio weweHilo la salary expectation ni swali ataulizwa ndio maana anafanya utafiti ili asijibu kibwege bwege bila kua na basis ya jubu lake Mkuu.
Aiseee kwa iyo una maanisha alienda shule kuchemsha viti tuShule haijamkomboa huyo ndugu yako kama sio wewe
Swali la salary halihusiani na viwango vya kampuni husika hata kidogo. Nikusaidie kidogo kwenye Swali la salary
Anatakiwa apige hesabu zote za kwake yaaani cost ya nauli toka kwake hadi ofisini mwezi mzima, gharama ya chakula kutwa nzima kwa mwezi mzima, gharama ya chumba/nyumba kwa mwezi, gharama ya umeme na maji kwa mwezi, gharama zingine kama vocha, dharura etc then cost atakayoipata ndio jibu analopaswa kujibu kwenye interview. Otherwise hana shida na kazi au elimu haijamkomboa kabisa
Over
Huyo Bwana Mdogo ni wewe. Kiufupi wewe hutaki kazi, na na kushauri ungepotezea tu hata kwenda kwenye inteview maana unawaza hela sana.
Huyo Bwana Mdogo ni wewe. Kiufupi wewe hutaki kazi, na na kushauri ungepotezea tu hata kwenda kwenye inteview maana unawaza hela sana.
mwambie serikalini huwa hatuulizwi salary expectations! utakuwa unamdanganya!Hilo la salary expectation ni swali ataulizwa ndio maana anafanya utafiti ili asijibu kibwege bwege bila kua na basis ya jubu lake Mkuu.
Kweli... wengi wetu hatujui uhusiano wa motivation na majukumu unayopewa..wenzetu wa Mataifa mengine hawakubali kufanya kazi ambayo haimpi hamasa na hayuko well motivated, kwa maana ingine uhaba wa ajira unapelekea mtu anakubali tu kazi alafu baadae ndio anaanza kulalamika which is not right.Isingekuwa hela kusingekuwa na ulazima wa kufanya kazi
Hivi umesoma kile nilicho-quote na kumjibu? Hapo alikuwa anatuambia kwamba moja ya swali atakaloulizwa ni "salary expectations" sasa nami ndiyo nikamjibu hivyo!!Kama unajua salary scale ya post hiyo ndio swali lake!
Hilo mkuu hata mimi juzi limenitoa jasho!! Wakanishinikiza weeeee,, kuja kutaja kiasi wakaitikia haraka haraka hapo sawa uko ndani ya malengo yetu!! Hili swali linastahili kupigwa marufuku!!mm swali kama hilo huwa nalijibugi kisiasa tu.
wakiniulizaga huwa nawaambia wanilipe kutokana na payment scale yao ya mtu mwenyewe qualification kama zangu
yaani wanilipe kama walivyopanga kulipa watu wenye sifa kama zangu
Salary scale ndio msingi wa swali nililouliza....hayo mengine ni maelezo tu.Hivi umesoma kile nilicho-quote na kumjibu? Hapo alikuwa anatuambia kwamba moja ya swali atakaloulizwa ni "salary expectations" sasa nami ndiyo nikamjibu hivyo!!
huo ni mtego hatari sana yaani unaweza taja laki 6 kumbe ulistahili 1mHilo mkuu hata mimi juzi limenitoa jasho!! Wakanishinikiza weeeee,, kuja kutaja kiasi wakaitikia haraka haraka hapo sawa uko ndani ya malengo yetu!! Hili swali linastahili kupigwa marufuku!!