Ngassa Asaini Simba

Ngassa Asaini Simba

SASA MUWE MAKINI, YANGA MWAIFAHAMU, TUTAwashika pahala nyeti muanze oh ngasa uyu yanga

YANGA inafahamika ndio, ilikuwa bingwa wa kagame na ikapigwa 5-0 na simba, tano bila majibu.
 
Siku ile alipotoa pasi kwa Sure Boy na kutiliwa tena na kufunga ilikuwa blind pass...........???????????? Kiujumla Azam walishaanza kumdis dogo, hakuwa na amni pale na wanaojua ni kwa nini ni Azam na Ngasa, kumbuka Chombo na bifu zake na Azam. Napata wasiwasi na Azam kuna viongozi wanapika majungu ya kutisha pale na matokeo yake ni wachezaji wengi toka bara kutoswa na kuwapendelea Wazanzibar. Tatizo wazanzibar hawabebeki, yaani viwango vibovu na hawakazi ndo maana unaweza ona hawapangwi kwa sasa, hivi waweza mfananisha Mcha na Ngassa...? kwa kipi au Murad kwa Joseph Owino? Hata Mushi kwa Mwadini na zengwe la kuwa kacheza chini ya kiwango siku ya CECAFA fainali utasikia anachoma mahindi.

Pamoja na kufunga siku hio bado hajawa productive sana...jibu swali unadhani Poulsen na Stewart walikuwa wanamchukia?Huyo dogo ana kazi kubwa sana ya kurudisha kiwango...
 
Back
Top Bottom