Amelingana kwa goal 6 na wenzake watatu sikui tuzo itakuwa ya nani xaxa
Kisheria za soka ni ya Ngasa ila CUF wanaleta mizengwe.
Kuna uwezekano mkubwa wa Ngasa kuchukua tuzo hiyo endapo wachezaji Bel Elhed na Ndombe hawatafunga katika fainali ya mwisho itakayozikutanisha timu zao za El setif na Vital club.Tumuombee mtanzania mwenzetu..
Inshalah kama CAF hawataleta majungu Ngasa atapewa kiatu chake Leo.
Hastahili. Alizifunaga vijitimu hata ndanda wangetoa dozi. Hatua za awali. Ila kama sheria zasema apewe, basi apewe na apewe tu na wapigwe tu.
Kisheria za soka ni ya Ngasa ila CUF wanaleta mizengwe.