Video ipi mkuu unaulizia au ile ya wachezaji wa simba wakilawitiwa!!!
Kuna makala niliisoma jana katka mwanaspoti, wanadai Ngasa kupewa hiyo tuzo ni ngumu mana amefungana magoli na wachezaji wawili waliotinga fainali. Mmoja toka Setif na mwingine toka As Vita.
Kwahiyo uwezekano mkubwa ni mchezaji wa Setif atauchukua huo mzigo mana kaiwezesha timu yake kuchukua ubingwa tofauti na Ngasa wetu.
cc Ududu mathematics sindbari Deo Corleone delako Frank mkahe mmanga VOICE OF MTWARA cnjona na Mphamvu.
Ahsante kwa ufafanuzi,so jamaa hatopewa hata buku?
Ila Suarez na ronaldo wote walifungA 31 goals and they shared an award
Sio kweli Mkuu,kisheria mwenye mechi chache ndie anapaswa kupewa hii tuzo pindi wanapofungana,ngoja Malinzi aje atusaidie katika hili.Kuna makala niliisoma jana katka mwanaspoti, wanadai Ngasa kupewa hiyo tuzo ni ngumu mana amefungana magoli na wachezaji wawili waliotinga fainali. Mmoja toka Setif na mwingine toka As Vita.
Kwahiyo uwezekano mkubwa ni mchezaji wa Setif atauchukua huo mzigo mana kaiwezesha timu yake kuchukua ubingwa tofauti na Ngasa wetu.
cc Ududu mathematics sindbari Deo Corleone delako Frank mkahe mmanga VOICE OF MTWARA cnjona na Mphamvu.
Sio kweli Mkuu,kisheria mwenye mechi chache ndie anapaswa kupewa hii tuzo pindi wanapofungana,ngoja Malinzi aje atusaidie katika hili.
Yani kwa vyovyote vile watafanya juu chini hao wengine wafunge ila asichukue kiatu we subili
Kuna makala niliisoma jana katka mwanaspoti, wanadai Ngasa kupewa hiyo tuzo ni ngumu mana amefungana magoli na wachezaji wawili waliotinga fainali. Mmoja toka Setif na mwingine toka As Vita.
Kwahiyo uwezekano mkubwa ni mchezaji wa Setif atauchukua huo mzigo mana kaiwezesha timu yake kuchukua ubingwa tofauti na Ngasa wetu.
cc Ududu mathematics sindbari Deo Corleone delako Frank mkahe mmanga VOICE OF MTWARA cnjona na Mphamvu.[/QUOTE
mi ninachofahamu wachezaji wakifanana magoli,ili kumpata mfungaji bora wanaangalia yule ambaye:..amecheza mechi chache, au magoli yake siyo ya penalt, au amefunga magoli mengi ya ugenini.

Uko sawa poti, kimsingi anayecheza mechi/dakika chache ndiye huamuliwa kuwa mshindi ikitokea kufungana kwa magoli. Hii ni kanuni ya mashindano ya FIFA, sijui kwa CAF inakuwaje?
Kuna mwamba alinidokeza kuwa kwenye mechi ya juzi kati ya Setif na Vita, baada ya mchezo kwisha Ngassa alitangazwa mshindi, sina hakika lakini.