Kwenye huu uzi nimeshindwa hata niandike nini aise. Anyway ngoja nijaribu, kama hii habari ni ya kweli basi club ya Simba kuna haja kubadili uongozi tukianza na mwanasheria wa timu.
Twembe mbele na kurudi nyuma simba ni daraja la mafanikio ya wachezaji wa kibongo yaani akina dumayo, msuva, sure boy,na machipukizi tafakarini haya!!!!!!!!!!!!