Ngasa ajiunga el marreikh

mpalu

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2010
Posts
2,521
Reaction score
876
Mrisho Ngassa amejiunga El Marreikh kwa dola 70,000 kutoka Azam......mshahara atajijua mwenyewe!!....ikumbukwe kuwa Ngassa ni mali ya Azam sio Simba...
 
Mshahara atajijua mwenyewe kivipi cjakuelewa mpalu
 
all the best mrisho khalfan ngassa.
Timu za wachawi kama simba na yanga hazikufai, ndizo zinzo spoil mpira wako
Kumbuka lakin hata azam walishaanza kuspoil mpira wake simba ndio waliomrudisha
 
MPIRA WA BONGO KIBOKO .....NGASA ALIVUTA MIKWANJA SIMBA NA BADO ALIKUWA NA MKATABA NA AZAM....SIMBA WAMELIWA RB NAONA DALILI YA RB NYINGINE KUNUKIA.....Rage upo
 
Sijaelewa hii habari...fafanueni basi wajameni...
 
Duuh.. Kwa zile mbio za kuwafunga wasomali..?
 
MPIRA WA BONGO KIBOKO .....NGASA ALIVUTA MIKWANJA SIMBA NA BADO ALIKUWA NA MKATABA NA AZAM....SIMBA WAMELIWA RB NAONA DALILI YA RB NYINGINE KUNUKIA.....Rage upo
mkataba ndani ya mkataba,mkataba wake na simba unaeleza kipindi atakachokuwa nao na vinginevyo pia kuna makubaliano
 
Kila la kheri kijana. Yanga walishindwa kukuuza. Afadhali Azam wamefanikiwa kwa mbeleko ya Simba.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Dogo huyu anawake 4 sasa aongeze wengine sasa
 
....ikumbukwe kuwa Ngassa ni mali ya Azam sio Simba...


Tumuamini nani?
 
Verosa ya Rage vp atairudisha show room?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…