MMkuu Rocky umeona eeeeeee ukiwa maarufu lazima wakufungulie ukurasa kwenye magazeti, sisi wengine wa Bongo hatufahamiki sana huku lakini tunafika mara kwa mara kwa ajili ya shughuli zetu za kutuingizia japo vijisenti.
Mkuu pale kuna wenyewe bana wengine sura tuu zikionekana pale ni balaa kesho yake utaulizwa ulikuwa wafanya nini pale
May be upali kausafiri kako mbali utembee kwa miguu
Mtafute Preta narok huko au facebook and tweeter au pale skylounge pale philips au viota vipta vya moshono na sun down carnival
Last edited by a moderator: