Mkuu nilimuona pale Matak.. bar alikuwa akipata supu.
Mkuu nawewe huwa unafika eneo la tukio? Karibu leo tupate michemsho aiseeee.
Mkuu palepale Matak.. ndio kuzuri usiku kunapendeza sana. Wadau wengi hata kutoka mikoani lazima tukutane pale, leo utaniona nimevaa simple rubber, jeans ya blue mpauko na T-shirt ya Pundamilia.wapi sasa mkuu narok au facebook and tweeter pale
We sema wapi aise tutembeleane tupate mchemsho grafani11
Mkuu palepale Matak.. ndio kuzuri usiku kunapendeza sana. Wadau wengi hata kutoka mikoani lazima tukutane pale.
Mkuu Rocky umeona eeeeeee ukiwa maarufu lazima wakufungulie ukurasa kwenye magazeti, sisi wengine wa Bongo hatufahamiki sana huku lakini tunafika mara kwa mara kwa ajili ya shughuli zetu za kutuingizia japo vijisenti.Mkuu pale hata parking ni issue aise yaani ukifika pale kesho yake kila mtu atakupigia simu kukuambia tulikuona pale
Hahahaha pale ni noma mkuu grafani11