NGARA: Jeshi la Polisi lafyatua risasi hewani kutawanya wananchi waliovamia shamba la mwekezaji

Queen V

JF-Expert Member
Jan 19, 2012
775
1,331
13754270_1011669078930767_3442608882168207151_n.jpg


Jeshi la Polisi limefyatua hewani risasi za moto kuwatawanya wananchi waliovamia mashamba ya mwekezaji baada ya serikali ya wilaya ya Ngara mkoani Kagera kushindwa kutekeleza agizo la Waziri Mkuu.

Taarifa zaidi zinakujia...

Chanzo: ITV
 
Back
Top Bottom