kivyako JF-Expert Member Joined Feb 2, 2012 Posts 14,342 Reaction score 12,067 Sep 11, 2012 #1 Hivi maudhui ya hiyo mechi yanasadifu jina lenyewe au ndo tumekopi na kupesti jina tu kutoka kwa wenzetu wa ligi kuu uingereza? nauliza tu.
Hivi maudhui ya hiyo mechi yanasadifu jina lenyewe au ndo tumekopi na kupesti jina tu kutoka kwa wenzetu wa ligi kuu uingereza? nauliza tu.