Ngabu Chronicles: Part I

Ngabu Chronicles: Part I

Mkuu bila shaka umeishi marekani duh unaandika utadhani unaongea!!!
 
duuh story inaonekana iko poa ila kingereza ni shida duuh
 
Huwa ninahisi una meno meupe yaliyopangika vizuri.......kumbe nilikuwa sahihi......hahaha!
 
42.70% ya wachangiaji wamependa meno yako,aidha kuna walioyapenda wazi wazi huku wengine wakijifanya wameyapenda tu na si vinginevyo ili hali taarifa za kiintelijinsia zikibainisha kwamba, watu wanaokataa jambo at first site kwa ndani ndo huongoza kwa kugugumia.... Aidha 26.20% tunataka kujua episode ya pili kwenye part one inakuwaje wakati 31.10% wametekenywa na lugha ya Malkia uliyotumia....
 
Sasa kwa nini umechangia utumbo mtupu?

mzee wa ligi, kubishana na watu humu jf kwa vidikshenari basi unasikia rahaa mpaka unajikojo.lea, nilikua nakutaarifu kua umeandika uha.ro, thats all.
 
mzee wa ligi, kubishana na watu humu jf kwa vidikshenari basi unasikia rahaa mpaka unajikojo.lea, nilikua nakutaarifu kua umeandika uha.ro, thats all.

Nilikuomba unitaarifu?

Acha kujipendekeza.
 
Back
Top Bottom