Mara nyingi ninaona neno ‘nga' kabla ya ‘li', ‘na' (tense) , kama vile, ningalikuja .....
tafadhali, unaweza kunieleza ‘nga' ni nini? Na nipatie mifano kwa kuandika sentensi nyingi mbali mbali.
Asante sana.
Sometimes I found there is a ‘nga' before the tense word like ‘li', ‘na'.., what does that mean by ‘nga'.
Could you please offer me some examples?
Thanks a lot.