deogan
JF-Expert Member
- Sep 7, 2011
- 399
- 46
Simu ya Google Nexus 4 iliyotengenezwa na kampuni ya LG imeshuswha bei.
Kampuni ya Google imeshusha bei ya simu hiyo ya Nexus 4, kwa wengi hii inaashiria uwezekano wa kuwepo kwa uzinduzi wa simu ya Nexus 5 karibuni.
Simu hiyo kwa sasa inapatikana katika play store kwa kiasi cha Dollar za kimarekani $199 kwa toleo la 8GB na $249 kwa toleo la 16GB takribani 320000 kwa 400000, japo watanzania hatutaweza kununulia huko kutokana na kutokuwa na support kwa nchi nyingi za Africa.