Nazikubali apple products ila kwa uwezo wangu bado maana nilikua na 3G kushangaa muda wake ukaisha nikawa nashindwa kupata applications toka hapo cjageuka huku na masuala ya paid applications mmh kwangu utata,ila n nzur kama mfuko uko vzur mm nimetulia kwenye blackberry