Newton Law Of Motion

Ambiele Kiviele

JF-Expert Member
Dec 29, 2014
15,267
29,906
Miezi mitatu na nusu sasa inatosha kukupa picha ya muelekeo wa maisha yako kwa mwaka huu wa 2017.

Hakuna siri wala huitaji nabii kukutabilia December mwaka huu itakuwaje, kama hautafanya kitu kuubadilisha huu mwelekeo.

Kama kweli unataka mabadiliko mwezi wa kumi na mbili fanya kitu sasa hivi kubadilisha huu mwelekeo.

Newtown law of motion inasema kila kitu kitaendelea kukaa kwenye muelekeo huo huo na kubaki kwenye mwendo huo huo, mpaka nguvu nyingine ya tofauti itakapo kuja kuingilia kati.

Kama hufanyi chochote cha tofauti kuhusu hiyo biashara yako uliyonayo sasa hivi, usitegemee kufikia mwezi wa kumi na mbali kutatokea muujiza ktk bishara yako

Yaani hiyo hali yako ya sasa hivi na ukiacha mambo yaendelee kama yalivyo huo ndiyo utakuwa mwelekeo wako kwa miezi yote ya mwaka iliyobaki.

Nawatakia siku njema mabalozi wenzangu!
 
Thats correct Mkuu.

Anamalizia kanuni ya tatu kwa kukuambia "In every action,There is an equal and opposite reaction".Hizi kanuni ziko poa sana.
 
Thats correct Mkuu.

Anamalizia kanuni ya tatu kwa kukuambia "In every action,There is an equal and opposite reaction".Hizi kanuni ziko poa sana.
Jitihada azifanyazo mtu katika shughuli zake (iwe biashara, iwe katika masomo, iwe kwenye kazi), ndio matunda na mafanikio atakayoyapata siku za usoni.
 
Back
Top Bottom