unaweza kupata duka la serikali mtaa wa Jamhuri karibu na Benjamin Mkapa tower, au jaribu kutafuta kwenye tovuti ya serikali au maktaba ya Open University kama una mtu unamjua anasoma hapo anaweza kuazima nakala ukatoa photocopy halafu akarudisha kwa sababu wanahitaji ID. All the best.