Nenda mahakamani ukiambatana Na watu wanaowafahamu Vema hao wazazi wako ili wafanye/watoe kiapo then ujaziwe affidavit form.Habari wanajopo mliopo humu ndani! Ninahitaji passport ila katika vigezo moja wapo ni pamoja na kuambatanisha cheti cha mzazi mmoja wapo cha kuzaliwa,lakini mimi hao wazazi wenyewe walifariki nikiwa chini ya miaka mitano na nimelelewa na watu baki tu, nifanye ili nipate hiyo hati ya kusafiria? Nisaidieni tafadhali
peleka picha za waliokuleaHabari wanajopo mliopo humu ndani! Ninahitaji passport ila katika vigezo moja wapo ni pamoja na kuambatanisha cheti cha mzazi mmoja wapo cha kuzaliwa,lakini mimi hao wazazi wenyewe walifariki nikiwa chini ya miaka mitano na nimelelewa na watu baki tu, nifanye ili nipate hiyo hati ya kusafiria? Nisaidieni tafadhali
pale uhamiaji nje unapata afidavit fasta chin ya dk 5 bila hata shahidi kuwepo,,,,Habari wanajopo mliopo humu ndani! Ninahitaji passport ila katika vigezo moja wapo ni pamoja na kuambatanisha cheti cha mzazi mmoja wapo cha kuzaliwa,lakini mimi hao wazazi wenyewe walifariki nikiwa chini ya miaka mitano na nimelelewa na watu baki tu, nifanye ili nipate hiyo hati ya kusafiria? Nisaidieni tafadhali
Nenda mahakama yeyote ile hasa hizi za chini waambie unataka affidavit watakupatiaHabari wanajopo mliopo humu ndani! Ninahitaji passport ila katika vigezo moja wapo ni pamoja na kuambatanisha cheti cha mzazi mmoja wapo cha kuzaliwa,lakini mimi hao wazazi wenyewe walifariki nikiwa chini ya miaka mitano na nimelelewa na watu baki tu, nifanye ili nipate hiyo hati ya kusafiria? Nisaidieni tafadhali
Ndio ninacho mkuuUna kitambulisho cha uraia
Ova
Nashukur sanaNenda mahakama yeyote ile hasa hizi za chini waambie unataka affidavit watakupatia
Ahsante sana mkuupale uhamiaji nje unapata afidavit fasta chin ya dk 5 bila hata shahidi kuwepo,,,,
Sawa, nashukurupeleka picha za waliokulea
Sawa, nashukuru sanaNenda mahakamani ukiambatana Na watu wanaowafahamu Vema hao wazazi wako ili wafanye/watoe kiapo then ujaziwe affidavit form.