Yaani hata mseme nini, hakuna justification ya kumpiga huyo meneja! Hii police brutality katika nchi za wenzetu wangekuwa wamempatia jamaa utajiri wa bure.
Police waliwakuwa na alternative ya kumdhibiti jamaa bila kumpiga bila kujali ni maneno gani alikuwa anawambia kama raia. Nadhani police wetu wanafundishwa kupiga zaidi kuliko kulinda haki za raia.
Hivi jambazi anayetaka kupora fedha kutoka mikononi mwa police ana muda wa ku-bargain nao kweli!?
HAO POLICE WAMEONYESHA SELF-DEFENSE YA UOGA.