Sijaelewa kwamba ni vipi wengine wakipost threads zinaandika Newsalert ata kama ni kitu cha kawaida kisichokuwa news, wakati wengine haitokei...wats so special kwa hawa watu...wajuzi watueleze
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.