FaizaFoxy Platinum Member Joined Apr 13, 2011 Posts 100,506 Reaction score 123,777 Feb 10, 2015 #1 Tazameni juu upande wa Kusini Magharibi (South West) kuna kitu si cha kawaida kinatoa mwangaza. Wenye ma camera ya ku zoom, haya tujuzeni.
Tazameni juu upande wa Kusini Magharibi (South West) kuna kitu si cha kawaida kinatoa mwangaza. Wenye ma camera ya ku zoom, haya tujuzeni.
kitigiria Senior Member Joined Apr 28, 2014 Posts 149 Reaction score 41 Feb 10, 2015 #2 Mbona hamna kitu bibi
BIGURUBE JF-Expert Member Joined Mar 11, 2014 Posts 6,748 Reaction score 4,257 Feb 10, 2015 #3 Umenisumbua nimetoka nje na taulo sioni kitu FaizaFoxy. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Shy land JF-Expert Member Joined Jul 28, 2013 Posts 6,245 Reaction score 2,848 Feb 10, 2015 #4 Uko mkoa gani?
H Hekaya za Abunuasi Senior Member Joined Jan 6, 2014 Posts 166 Reaction score 38 Feb 10, 2015 #5 FaizaFoxy said: Tazameni juu upande wa Kusini Magharibi (South West) kuna kitu si cha kawaida kinatoa mwangaza. Wenye ma camera ya ku zoom, haya tujuzeni. Click to expand... Faiza Mbona sijaona hicho kitu chako ulichosema?
FaizaFoxy said: Tazameni juu upande wa Kusini Magharibi (South West) kuna kitu si cha kawaida kinatoa mwangaza. Wenye ma camera ya ku zoom, haya tujuzeni. Click to expand... Faiza Mbona sijaona hicho kitu chako ulichosema?
Mwanamayu JF-Expert Member Joined May 7, 2010 Posts 11,701 Reaction score 6,931 Feb 10, 2015 #6 FaizaFoxy said: Tazameni juu upande wa Kusini Magharibi (South West) kuna kitu si cha kawaida kinatoa mwangaza. Wenye ma camera ya ku zoom, haya tujuzeni. Click to expand... Universe ina galaxies kibao, stars kibao isijekuwa ndio unachoona. Halafu wewe umeona ni UFO unatakaujuzwe nini tena?
FaizaFoxy said: Tazameni juu upande wa Kusini Magharibi (South West) kuna kitu si cha kawaida kinatoa mwangaza. Wenye ma camera ya ku zoom, haya tujuzeni. Click to expand... Universe ina galaxies kibao, stars kibao isijekuwa ndio unachoona. Halafu wewe umeona ni UFO unatakaujuzwe nini tena?
O Odili JF-Expert Member Joined Feb 8, 2015 Posts 1,771 Reaction score 1,392 Feb 10, 2015 #7 Shy land said: Uko mkoa gani? Click to expand... Mkubwa nadhani hujapitia heading au kama uliipitia hukuizingatia.
Shy land said: Uko mkoa gani? Click to expand... Mkubwa nadhani hujapitia heading au kama uliipitia hukuizingatia.
Shy land JF-Expert Member Joined Jul 28, 2013 Posts 6,245 Reaction score 2,848 Feb 10, 2015 #8 Wewe bibi kweli ni mchawi unatufanya watu wazima tunaonekana ni vichaa nimetoka nakimbia nikamgoga na mtoto kisha uchawi wako.
Wewe bibi kweli ni mchawi unatufanya watu wazima tunaonekana ni vichaa nimetoka nakimbia nikamgoga na mtoto kisha uchawi wako.
Mwanamayu JF-Expert Member Joined May 7, 2010 Posts 11,701 Reaction score 6,931 Feb 10, 2015 #9 Hekaya za Abunuasi said: Faiza Mbona sijaona hicho kitu chako ulichosema? Click to expand... Kama ni kitu chake ni ngumu kukiona!!!
Hekaya za Abunuasi said: Faiza Mbona sijaona hicho kitu chako ulichosema? Click to expand... Kama ni kitu chake ni ngumu kukiona!!!
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 94,071 Reaction score 132,528 Feb 10, 2015 #10 .. FaizaFoxy unaangalia sana sinema za ma aliens, ila kwa style hiyo lazima u was hike nyota wa jf humuu Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
.. FaizaFoxy unaangalia sana sinema za ma aliens, ila kwa style hiyo lazima u was hike nyota wa jf humuu
kyalankota JF-Expert Member Joined Jul 27, 2014 Posts 2,594 Reaction score 1,463 Feb 10, 2015 #11 FaizaFoxy said: Tazameni juu upande wa Kusini Magharibi (South West) kuna kitu si cha kawaida kinatoa mwangaza. Wenye ma camera ya ku zoom, haya tujuzeni. Click to expand... Itakuwa majini yenu yamecharuka!
FaizaFoxy said: Tazameni juu upande wa Kusini Magharibi (South West) kuna kitu si cha kawaida kinatoa mwangaza. Wenye ma camera ya ku zoom, haya tujuzeni. Click to expand... Itakuwa majini yenu yamecharuka!
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 62,190 Reaction score 128,243 Feb 10, 2015 #12 Mbona hapo bado hujaona marue-rue, Bado mapema sana.
FaizaFoxy Platinum Member Joined Apr 13, 2011 Posts 100,506 Reaction score 123,777 Feb 10, 2015 Thread starter #13 Mwanamayu said: Universe ina galaxies kibao, stars kibao isijekuwa ndio unachoona. Halafu wewe umeona ni UFO unatakaujuzwe nini tena? Click to expand... Nisome vizuri.
Mwanamayu said: Universe ina galaxies kibao, stars kibao isijekuwa ndio unachoona. Halafu wewe umeona ni UFO unatakaujuzwe nini tena? Click to expand... Nisome vizuri.
kyalankota JF-Expert Member Joined Jul 27, 2014 Posts 2,594 Reaction score 1,463 Feb 10, 2015 #14 Shy land said: Wewe bibi kweli ni mchawi unatufanya watu wazima tunaonekana ni vichaa nimetoka nakimbia nikamgoga na mtoto kisha uchawi wako. Click to expand... Majini yake yamecharuka!
Shy land said: Wewe bibi kweli ni mchawi unatufanya watu wazima tunaonekana ni vichaa nimetoka nakimbia nikamgoga na mtoto kisha uchawi wako. Click to expand... Majini yake yamecharuka!
H Hekaya za Abunuasi Senior Member Joined Jan 6, 2014 Posts 166 Reaction score 38 Feb 10, 2015 #15 Mwanamayu said: Kama ni kitu chake ni ngumu kukiona!!! Click to expand... Mkuu ni kile kitu alichosema kinatoa Mwangaza
Mwanamayu said: Kama ni kitu chake ni ngumu kukiona!!! Click to expand... Mkuu ni kile kitu alichosema kinatoa Mwangaza
C Capt Tamar JF-Expert Member Joined Dec 15, 2011 Posts 13,060 Reaction score 18,029 Feb 10, 2015 #16 Hakuna kitu kama UFO,hizo ni science fictions tu,na mama yangu FaizaFoxy naye amedakwa kwenye mtego huo wa nzi? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Hakuna kitu kama UFO,hizo ni science fictions tu,na mama yangu FaizaFoxy naye amedakwa kwenye mtego huo wa nzi?
FaizaFoxy Platinum Member Joined Apr 13, 2011 Posts 100,506 Reaction score 123,777 Feb 10, 2015 Thread starter #17 Shy land said: Wewe bibi kweli ni mchawi unatufanya watu wazima tunaonekana ni vichaa nimetoka nakimbia nikamgoga na mtoto kisha uchawi wako. Click to expand... Wewe upo Shinyanga mambo yapo Dar. usitake kuanzisha vituko saa hizi.
Shy land said: Wewe bibi kweli ni mchawi unatufanya watu wazima tunaonekana ni vichaa nimetoka nakimbia nikamgoga na mtoto kisha uchawi wako. Click to expand... Wewe upo Shinyanga mambo yapo Dar. usitake kuanzisha vituko saa hizi.
Mwanamayu JF-Expert Member Joined May 7, 2010 Posts 11,701 Reaction score 6,931 Feb 10, 2015 #18 FaizaFoxy said: Nisome vizuri. Click to expand... Hicho kichwa cha habari si ungekiwekea alama ya kuuliza au kisingekuwepo kabisa i.e. UFO!!
FaizaFoxy said: Nisome vizuri. Click to expand... Hicho kichwa cha habari si ungekiwekea alama ya kuuliza au kisingekuwepo kabisa i.e. UFO!!
O Odili JF-Expert Member Joined Feb 8, 2015 Posts 1,771 Reaction score 1,392 Feb 10, 2015 #19 FaizaFoxy said: Wewe upo Shunyanga mambo yapo Dar. usitake kuanzisha vituko saa hizi. Click to expand... Huyu shy tushamzowea kwa vituko vyake.
FaizaFoxy said: Wewe upo Shunyanga mambo yapo Dar. usitake kuanzisha vituko saa hizi. Click to expand... Huyu shy tushamzowea kwa vituko vyake.
Shy land JF-Expert Member Joined Jul 28, 2013 Posts 6,245 Reaction score 2,848 Feb 10, 2015 #20 FaizaFoxy said: Wewe upo Shunyanga mambo yapo Dar. usitake kuanzisha vituko saa hizi. Click to expand... Aliyekuambia niko shinyanga ni nani??
FaizaFoxy said: Wewe upo Shunyanga mambo yapo Dar. usitake kuanzisha vituko saa hizi. Click to expand... Aliyekuambia niko shinyanga ni nani??