News Alert: Chadema yaunguruma Loliondo

Jasho la Damu

JF-Expert Member
Mar 10, 2011
956
120
Hv sasa mkiti wa Chadema wilaya ya Ngorongoro anamwaga sumu zinazotolewa na ccm. Kutokana na serikali kugawa hati ya vijiji vipya na kutangaza uchaguz wa serikali mtaa/kijiji na kitongoj hivyo ccm wameanza kuwatangaza na kuwasimika viongoz wa chama kuwa viongoz kamili kabla ya uchaguz wenyewe.
 
sijakuelewa. hizo sumu anazomwaga kazitoa ccm? ongea kwa kirefu mkuu acha kukurupuka. jipange uje upya kutoa habari vizuri.
 
Hv sasa mkiti wa Chadema wilaya ya Ngorongoro anamwaga sumu zinazotolewa na ccm.

Not clear..anamwaga sumu zinazotolewa na CCM..hii taarifa yako haiko sawa..kajipange,na jifunze kuandika kwa utulivu unapoleta taarifa ili ipate kujadiliwa na wanafamilia hapa JF..taarifa nusunusu kama hizi ni janga.
 
Hv sasa mkiti wa Chadema wilaya ya Ngorongoro anamwaga sumu zinazotolewa na ccm. Kutokana na serikali kugawa hati ya vijiji vipya na kutangaza uchaguz wa serikali mtaa/kijiji na kitongoj hivyo ccm wameanza kuwatangaza na kuwasimika viongoz wa chama kuwa viongoz kamili kabla ya uchaguz wenyewe.

Mbona jamaa anasomeka,au macho yangu hayaoni!
 
Back
Top Bottom