Newest, latest, modest and most efficient website designs for you

Marketer

JF-Expert Member
Apr 5, 2012
261
55
Hello!

For the latest and madest website designs, hosting and registration services contact MICROTELECOMMS TANZANIA.

Price ranges from TSH 700,000/= to above depending on the design and other factors

CONTACTS
MICROTELECOMMS
P.O.Box 79307, Dar es salaam.
Tel: +255 (22) 2461678
Fax: +255 (22) 2461679
Cell: 0776 878700
Website: Microtelecomms-MTC
Email: sales@microtelecomms.com
 
weka hapa sites ambazo mmeshatengeneza ili tuone tofauti. msije kuwa mnadownload zile templates kisha baadae inakula kwa mteja
 
ukitaka kuuziona njoo ofisini mdau, hatuuzi mbuzi kwenye gunia. na kuhusu kuweka hapa itakuwa ngumu kwani site ni mali ya mteja tayari sasa ukimuweka hapa anaweza asifurahishwe na hilo. njoo ofisini uinspect kila site mpaka uchoke mwenyewe ukiridhika tutafanya biashara.
 
Mkuu nadhani haukuja kibiashara. Unapoamua kujitangaza maana yake unataka ujulikane kwa wateja, sasa unapoanza mara tukutembelee wenyewe ofisini wakati kuna kampuni zingine wanatembeza sample zao kusaka wateja sijui una maana gani. Zama hizi za ushindani ni bora kuwa wazi au uendane na maombi ya wateja la sivyo itakula kwako.
 
mkuu ukihitaji sample ni pm au niemail nitakupa, ila kuweka site za wateja hapa ni kupoteza customer relations
 
Back
Top Bottom