Newcastle united fans!!!

Newcastle united fans!!!

buhange

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2011
Posts
505
Reaction score
110
Guys, ma' Fans wenzangu wa newcastle vipi tumeanza ni kipigo toka kwa Man city
 
buhange na omujubi, clab ya New castle ni 1 kati ya vilabu vikubwa pale uingereza, tatizo ni mmiliki wa timu, bwana Mike Ashley. Huyu bwana yupo kibiashara zaidi kuliko kimafanikio. Amewahi kufanya maamuzi ya hovyo km kuuza wachezaji tegemeo kisa fedha. Wachezaji km Ba, Carrol hawakutakiwa kuuzwa kwani walikuwa tegemeo la timu. Alilazimisha kuuzwa kwa james Milner ingawa kocha wa wakati huo keegan alipinga kwa nguvu zake zote. Alipomuuza tu, keegan naye akastep down. Kumleta Steven kinner kuwa mkurugenzi wa ufundi ni 1 kati ya maamuzi mabovu kabisa. Arsenal wametoa ofa ya 10m paund kwa Cabaye huyu bwana hawezi kuziacha!
 
Last edited by a moderator:

hivi kuna timu ambayo haipo kibiashara? Michael Ashley anauza wachezaji kwa sababu anapunguza gharama za kuwalipa mishahara mikubwa hao wachezaji. Kama timu haiingizi pesa za kutosha kuwalipa wachezaj ambao kila contract extension mshahara unaongezeka ujue wachezaji watauzwa kubalance badget. Arsenal walifanya hivyo baada ya invinsibles kina Vieira, Edu, Ashley Cole nk waliuzwa sababu ya kubalance badget ukizingatia walikuwa na mortgage ya emirates. Kila timu zinapitia ktk hii hali, jamani. Angalieni timu kama Valencia, Atletico Madrid nk zinauza wachezaji kwa sababu kama hizi.
 
bwana rubaman, kwanza nakubaliana na wewe kuwa soka ni biashara. Pili, vilab vinaendeshwa kupata faida na mafanikio. Clab kama Arsenal kwa mfano, unauza mchezaji wa kiwango cha RVP, unaenda kumsajili Oliver Girodue, wakati mishahara yao haitofautiani sana. Unamuuza Samir Nasri unanunua Arteta! Hapa unapoteza kote, unakosa vikombe, na uchumi unabaki umesimama. Hivi kuna mchezaji yeyote aliyeondoka arsenal bila kulazimisha kuondoka? Kuanzia Viera, Hendry,Flamin, Clichy, Nasri, RVP nk? Wote hao walindoka baada ya kuona timu haina mwelekeo. Na wote wamepata mafanikio walikokwenda. Mambo ya budget yaende sambamba na ufanisi wa timu.
 
Last edited by a moderator:
started this season by loosing then draw and finally a win; it is promising, isn't it?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom