gaurio
Senior Member
- Feb 18, 2013
- 154
- 19
kumbe ndio nyie mnao mdanganya rais kuwa wanao unga mkono suala la gesi ni wachache sana! kama unaishi mtwara basi wewe ni mwongo na huna taarifa sahihi.mimi ni mtu wa kuja tu huku lakini suala hili limewakaa moyoni watu wa mtwara kuliko hata dini yao.kuwa mkweli ishauri vizuri serikali.
labda waliyafunga moyoni lakin kimatend walikuwa wanafanya kazi kama kawaida. labda kwenu huko..