Soko limefumgwa na maduka yote na shughuli zote
Soko limefumgwa na maduka yote na shughuli zote
Kwa sababu ya udhaifu wa JK na Serikali yake legelegeKwa nini wamefunga soko tujuze basi
Safi sana mpaka ccm wakome ujambazi.na unyanyasaji.
na ndio maana ccm hawafanyi lolote kuhusu wananchi maana hawana uchungu na matatizo ya wananchi wakifa kwao sawa, wakikosa huduma za kisoko kwao sawa, watoto wakifeli kwao sawa, ili mradi wao wna maisha mazuri yaani viongozi sio wananchi wa kawaida, viongozi maana wao ndio ccm. lakini mwisho wao umefikakwani soko ni la ccm au walivyofunga ccm imepata hasara gani ngoja waendelee na hizo akili zao wanafikiri wanamkomoa mtu.
Funguka mkuu..Ni issue ya gesi ya Mtwara?
Kwa nini wamefunga soko tujuze basi
wanataka mbunge wao aachiliwe
kwani soko ni la ccm au walivyofunga ccm imepata hasara gani ngoja waendelee na hizo akili zao wanafikiri wanamkomoa mtu.
wanataka mbunge wao aachiliwe
wanajikomoa wenyewe hao wenzao wa wilaya ya TANDAHIMBA shughuli zinaendelea kama kawaida wakati wilaya hii ndo kitovu cha vurugu zote. so wana newala mnajitia hasara na kukaribisha umaskini wenyewe. kifupi kwa sasa wanaosapoti swala la gas niwachache mno watu wanaogopa kichapo.