New York From above

only in USA!

dar hata hadhi ya kukidhi makazi, sanitation na health kwa watu wake bado haijafikia international standards hata kidogo!
 
Mi sijawahi fika huko lakini niliwahi kumsikia JK akisema kuwa Kigamboni by 2020 itakuwa kama New York, ni kweli alimaanisha NY hii hii au kuna nyingine aliyomaanisha!?
 
Mi sijawahi fika huko lakini niliwahi kumsikia JK akisema kuwa Kigamboni by 2020 itakuwa kama New York, ni kweli alimaanisha NY hii hii au kuna nyingine aliyomaanisha!?

​Achana nae yule, sijui kama ashawahi kufika Kigamboni tangu aukwae urais.
 
hapo ni washingtone sio new york,dar ni kijiji kikubwa
 
Mi sijawahi fika huko lakini niliwahi kumsikia JK akisema kuwa Kigamboni by 2020 itakuwa kama New York, ni kweli alimaanisha NY hii hii au kuna nyingine aliyomaanisha!?
Yule nae unamuamini? Anazurula lakini hajifunzi
 
Eh....panaonyesha panamakazi mazuri...
 
hahaha!! wacheni hizo, hiyo ni Manhattan, NYC. mpaka Central Park inaonekana clear kabisa halafu mnasema ni DC!!

​Ndo hapo mi nashindwa kushangaa, labda ni above view inawachanganya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…