New WhatsApp Version

New WhatsApp Version

chakii

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
21,888
Reaction score
29,686
Heshima kwenu wanaJukwaa.

Whatsapp wametoa version mpya ambayo ina option mpya kwamba unaweza ku like profile picture ya mtu.


Naomba kupatiwa msaada wa Link tafadhali niweze ku download/kuipakua.

Natanguliza shukrani.
 
Hey This is Sanjana Berg, The Vice President of Whatsapp. Now Whatsapp has New Option , You Can Like And Comment The Profile Picture Of your Friends. Click here To Activate Now-> www.WHATSAPPCALLBACK.com/activation <- Hurry!!
 
Hey This is Sanjana Berg, The Vice President of Whatsapp. Now Whatsapp has New Option , You Can Like And Comment The Profile Picture Of your Friends. Click here To Activate Now-> Win Free Recharge <- Hurry!!


Thanks mkuu lakini ninapojaribu ku invite watu ina display plain, hakuna kinachofunguka
 
Heshima kwenu wanaJukwaa.

Whatsapp wametoa version mpya ambayo ina option mpya kwamba unaweza ku like profile picture ya mtu.


Naomba kupatiwa msaada wa Link tafadhali niweze ku download/kuipakua.

Natanguliza shukrani.


Huu ni uongo, kutokana na nilivyoona hiyo Process ya Activation, kwanza huyo ni mtu anatafuta visitors kwenye website yake.

Nimeichukua hiyo link nikaweka kwenye computer browser nika click click.. share share hadi mwisho nikapata ujumbe kwa nipo activated, na wakati hata namba ya simu niliyoweka ni 1112254531

mwisho nikapata ujumbe huu Paytm Recharge Code - CL4


****HUU NI UONGO , USIJISUMBUE labda mpaka whatsapp watoe official Update****
 
kwanza ulike prof pic enheee alafu...
huo ujumbe ni wa uwongo.
 
Mimi Nimesha Update Yangu...

Ni Simple Nenda Playstore Kwenye Apps Ambazo Ushainstall Utaiona Palee Inataka Ui Update
 
Hey This is Sanjana Berg, The Vice President of Whatsapp. Now Whatsapp has New Option , You Can Like And Comment The Profile Picture Of your Friends. Click here To Activate Now-> Win Free Recharge <- Hurry!!

Cha kushangaza huyo Rais wa wasapu anatumia mtandao wa tiGO 0712840047 kweli wajinga ndio waliwao.
 
So far hii ndio latest version ya whatsapp na binafsi sijaona kama ina option ya ku-like profile pic ya mtumiaji
 

Attachments

  • 1431572944703.jpg
    1431572944703.jpg
    12 KB · Views: 335
Watu muwe waelewa na muelewe neno "messenger" lina maana gani. Nimetumiwa iyo text na zaid ya watu 7. Cha msingi. Ukijuwa kuwa ninu maana ya messenger huwezi angaika na hizo spam. Je unadhani whatsapp ni FB. Au IG mpaka m-like. Totally akileta option hiyo... Tutasepa wengi kama tulivyosepa fb...
 
Kuna watu wanajisumbua na vitu visivyokuwa na maana. Sasa ku-like profile picture ya mtu itakusaidia nini? Na wale wasioweka profile picture utafanyaje? Au kazi yako kushinda whattsap.
 
Back
Top Bottom