mashabiki wake wanapenda hiyo kukenua na kurusha rusha kwapa... anything else?Wanasema truth sounds like hate to those who hate truth, mi sina team ila ni kweli diamond kila video swaga zilezile kukenua na kurusha rusha kwapa.

Maigizo mmepewa sasa mpongezeni!!Naona Nassib anaprogress nw,anauwezo wa kutoa sauti ikasikika sio kile kugugumizi chake cha kwenye coco...
Wanasema truth sounds like hate to those who hate truth, mi sina team ila ni kweli diamond kila video swaga zilezile kukenua na kurusha rusha kwapa.
kile sio kigugumizi mama mbona povu linakutoka!ile track ilifanywa mwanzo nigeria ila Waje alipokuja bongo Diamond aliomba wai'remake abadilishe verse zake hapo ndipo tuddy akabugi kwenye mixing tatizo tz tuna lundo maproducer hatuna ma'sound engineer.
Anakenua hatari!!anarusha mikono kama nini sijui..wagonjwa wanaimba wamefurahi huku wanadance,hii dance ya domo ya kurusha rusha mikono now inaboa,kurusha tu mikono na kukenua domo yaani kila video pozi hiyo hiyo
Kumbe yule dem ni Shadee, Bracket wamempata wap huyo
Alienda kwenye coverage ya tuzo za Chanel o...video ilishutiwa kipindi dai ameenda kwenye tuzo....shadee akajisogeza location kuangalia matukio wakati wana shoot ndio wakampa kipande nae auze.