Nukta5
JF-Expert Member
- Jun 7, 2014
- 1,189
- 1,307
Video ya bracket ft Diamond and Tiwa Savege imetoka click hapa kuitazama https://www.youtube.com/watch?feature=player_detailpage&v=52BbWU9Sot8#t=3
Video ya bracket ft Diamond and Tiwa Savege imetoka click hapa kuitazama https://www.youtube.com/watch?feature=player_detailpage&v=52BbWU9Sot8#t=3
Mgonjwa wa cancer wodini anaimba verse, hapa sijaelewa nawasubili wataalam mdadavuwe.
Ulitaka aumwe kweli? Si mziki tu huo we jamaa vipi..sasa angeumwa kweli angeimbaje?..
wagonjwa wanaimba wamefurahi huku wanadance,hii dance ya domo ya kurusha rusha mikono now inaboa,kurusha tu mikono na kukenua domo yaani kila video pozi hiyo hiyoKumbe mlitaka Mwana Kiba aonekane anajidunga sindano?
Nimeshazielewa akili zenu.
wagonjwa wanaimba wamefurahi huku wanadance,hii dance ya domo ya kurusha rusha mikono now inaboa,kurusha tu mikono na kukenua domo yaani kila video pozi hiyo hiyo
Sio kwamba ni mgonjwa, bali anashukuru kwa kupona cancer, ndo maana mwisho ameenda kutoa sadaka
Kumbe mlitaka Mwana Kiba aonekane anajidunga sindano?
Nimeshazielewa akili zenu.
Badala ya kuweka link, let it be this way:Video ya bracket ft Diamond and Tiwa Savege imetoka click hapa kuitazama https://www.youtube.com/watch?feature=player_detailpag e&v=52BbWU9Sot8#t=3
wagonjwa wanaimba wamefurahi huku wanadance,hii dance ya domo ya kurusha rusha mikono now inaboa,kurusha tu mikono na kukenua domo yaani kila video pozi hiyo hiyo
hiyo video umeiangalia?yaani kama camera ilikuwa inatingishikachuki kila kona duuh ile video ya mwana ina viewers laki na nusu siku ya 5 leo chaliiiii.
hiyo video umeiangalia?yaani kama camera ilikuwa inatingishika
chuki kila kona duuh ile video ya mwana ina viewers laki na nusu siku ya 5 leo chaliiiii.