Sasa mkuu ukifanya hivyo si utajikuta una disable na mouse keyboard na mwishoe ukashindwa kuitumia Mashine yako? Mimi kuna option mmoja ambayo niliisoma hapo nyuma naona ndiyo nzuri saidi kuliko hii, hiyo inakupa option ya kudisable port moja moja ambayo unataka kuzi disable.
nenda kwenye start,click run na andika regedit
baada ya hapo ingia kwenye HKEY_LOCAL_MACHINE\SYSTEM\CurrentControlSet\Servic es\USBSTOR
kwenye usbstor badilisha value data.badala ya 3 andika 4.
kazi imeisha.usbport zote za copmuter zimekuwa disabled.
ukitaka kurudisha ili ziweze kusoma
nenda kwenye start,click run na andika regedit
baada ya hapo ingia kwenye HKEY_LOCAL_MACHINE\SYSTEM\CurrentControlSet\Servic es\USBSTOR
kwenye usbstor rudisha value ile ile 4 badala ya tatu
hapo sasa all port za usb zitakuwa zinafanya kazi.
for english
gO TO --> START --> RUN
NOW TYPE REGEDIT
NOW LOOK FOR THE KEY :
HKEY_LOCAL_MACHINE\SYSTEM\CurrentControlSet\Servic es\USBSTOR
NOW FIND THE KEY THERE CALLED :-
"Start"
DOUBLE CLICK ON IT.
NOW CHANGE THE VALUE DATA 3 --> 4
YOU HAVE DONE IT
NOW CLOSE THE REGISTRY AND YOU'LL SEE THE RESULT.
YOUR PC'S ALL USB PORTS ARE DISABLED
TO RE-ENABLE/UNBLOCK USB PORTS JUST CHANGE THE VALUE DATA AGAIN 4 --> 3
NOW YOUR PC'S ALL USB PORTS ARE RE-ENABLED.
Why would anyone want to disable USB ports?
Mara nyingi hili hufanyika katika corporate environment, hususan kwa sababu ya security. Kama kampuni haitaki wafanyakazi wake waweze kuchukua data kutoka kompyuta zao za kazini kwa kutumia USB, au kama kampuni inaogopa kwamba wafanyakazi wataleta virus na security threats nyingine kwa njia ya USB.
Kwenye kompyuta za nyumbani umuhimu wa hiki kitu unaweza kuwa mdogo.

Computer zote zinazotumika maofisi yote ya ubalozi ziko disabled, hata CD rom hivyo zinaweza kupokea tuu data through mitandao yao safe, ili kuhakikisha hakuna kitu inatoka nje!.Why would anyone want to disable USB ports?