Unlimited voda hii ambayo ilikuwa 40,000 now 20,000. Unataka kuniambia ni 35 GB full speed siku hizi?
Tigo hawako vzuri,.internet speed yao sijaipenda hasa ukizingatia niko chini ya mnara wao na 3G lakini wap..
Unaanzia wapi? *150*01# ?
Unaanzia wapi? *150*01# ?
Unaanzia wapi? *150*01# ?
Voda ya mwezi ni GB kati ya 3 na 5 sijanunua muda kidogo. Naenda kutafuta SIM ya Tigo kama hiyo 10GB kwa wiki ni kweli!
uliweka lini na ulitumia kifaa gani?Airtel yatosha wajamen....kwa sh 900 tu niliweka unlimited ya siku nikashusha 5gb
*148*00#
Nimejiunga ya wiki hadi najuta. Hakuna spidi inayosemwa
nime ionja na mpaka sasa imethibika kuwa na utamu, ngoja tuone kama utamu utaendelea mpaka mwisho, kama walivyo ahidi
View attachment 163336