ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 44,204
- 50,926
Halafu ataamka mtu mmoja atautangazia umma amekwenda kuwashawishi wawekezaji halafu chawa wake wataanza kumpamba na nyimbo za kaletwa na Mungu kuja kuwaokoa!Kinyang'anyiro Cha Kumiliki rasilimali za Afrika kinazidi kupamba moto baina ya USA na Washirika wake wa Ulaya Kwa upande mmja Dhidi ya China...
Halafu ataamka mtu mmoja atautangazia umma amekwenda kuwashawishi wawekezaji halafu chawa wake wataanza kumpamba na nyimbo za kaletwa na Mungu kuja kuwaokoa!
ndo manake wana2lazimisha 2pakuane ili akili zihame!!!!Kinyang'anyiro Cha Kumiliki rasilimali za Afrika kinazidi kupamba moto baina ya USA na Washirika wake wa Ulaya Kwa upande mmja Dhidi ya China...
Kawape bata!Umeandika pumba
Ujio wa King Charles III pale Kenya na Rais wa Ujerumani hapa Bongo nikajua Wenyewe wanarudi 😂😂
Akafika Hadi pale SONGEA na kuona makaburi ya machifu na wanajeshi wa majimaji na akaahidi kurudisha kile kichwa Cha mwamba waliyemnyonga maratatu na asife ,wakaamua kupiga risasi na kuondoka na kichwa ,ndg yetu nduna SONGEA mbanoUjio wa King Charles III pale Kenya na Rais wa Ujerumani hapa Bongo nikajua Wenyewe wanarudi
Neo colonialism. Ukoloni hauwezi kuisha ikiwa nchi zetu za afrika zinategemea pesa za wazungu kukamilisha mipango ya kwenye bajeti zetuKinyang'anyiro Cha Kumiliki rasilimali za Afrika kinazidi kupamba moto baina ya USA na Washirika wake wa Ulaya Kwa upande mmja Dhidi ya China.
China ilizimdua Mkakati wake unaojulikana kama Road and Bridge Initiative (RBI) ambao ulilenga kujenga maelfu ya miundombinu na kutoa mikopo ya kuwezesha ujenzi wa Miundombinu barani Afrika na kusaini MoU na Nchi zote 52 za Africa.
Baada ya Marekani kuona anaachwa nyuma nae amekuja na jibu Kwa ku pumba mamilioni ya Dola kwenye Ukanda wa usafirishaji unaojulikana kama Lobito Transport Corridor ambapo inalenga kufufua reli ya zamani na kuongeza mtandao wa reli kutoka Bandari ya Lobito Angola Hadi kwenye migodi ya Madini maeneo ya copper belt Nchini Zambia na DRC.Aidha zaidi ya km 250 za barabara zitajengwa kama feeder roads za reli Mpya.
The Lobito Corridor: Washington’s Answer to Belt and Road in Africa | Geopolitical Monitor
With the launch of the Lobito Corridor, Washington has made clear its intention to compete with China’s Belt and Road Initiative in Africa.www.geopoliticalmonitor.com
Swali.
Je, this time around ,hii vita ya Kiuchumi ya Mabeberu itatunufaisha au tutaliwa kama zama za Ukoloni?
View attachment 2813399
Una unaweza thibitisha?Kwa jinsi swala la uzalendo tulivyo liweka pembeni, kila mtu anaifikiria familia yake,basi jamaa watajipigia.
Wamegundua mtu mweusi hawezi kujitawala. Wacha warudi tu.Ujio wa King Charles III pale Kenya na Rais wa Ujerumani hapa Bongo nikajua Wenyewe wanarudi 😂😂
Ukifuatilia trend za ripoti ya CAG, haina haja ya kuwa na kipaji cha utabiri wala uthibitisho na huko watapiga tuu.Una unaweza thibitisha?
Hujui kitu.Umeandika pumba
Tunaliwa tena. Hatujajiandaa na hatuna uongozi bora wala siasa safi.Kinyang'anyiro Cha Kumiliki rasilimali za Afrika kinazidi kupamba moto baina ya USA na Washirika wake wa Ulaya Kwa upande mmja Dhidi ya China.
China ilizimdua Mkakati wake unaojulikana kama Road and Bridge Initiative (RBI) ambao ulilenga kujenga maelfu ya miundombinu na kutoa mikopo ya kuwezesha ujenzi wa Miundombinu barani Afrika na kusaini MoU na Nchi zote 52 za Africa.
Baada ya Marekani kuona anaachwa nyuma nae amekuja na jibu Kwa ku pumba mamilioni ya Dola kwenye Ukanda wa usafirishaji unaojulikana kama Lobito Transport Corridor ambapo inalenga kufufua reli ya zamani na kuongeza mtandao wa reli kutoka Bandari ya Lobito Angola Hadi kwenye migodi ya Madini maeneo ya copper belt Nchini Zambia na DRC.Aidha zaidi ya km 250 za barabara zitajengwa kama feeder roads za reli Mpya.
The Lobito Corridor: Washington’s Answer to Belt and Road in Africa | Geopolitical Monitor
With the launch of the Lobito Corridor, Washington has made clear its intention to compete with China’s Belt and Road Initiative in Africa.www.geopoliticalmonitor.com
Swali.
Je, this time around ,hii vita ya Kiuchumi ya Mabeberu itatunufaisha au tutaliwa kama zama za Ukoloni?
There is a new scramble for Africa
In 2024 foreign meddling is set to intensify, fuelling the fires of conflict and strengthening the hand of autocrats and military juntaswww.economist.com