Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,073
- 43,520
Tayari imeshafeli, ni juhudi za haraka kukabiliana na samsung na matokeo yake wakatoa kifaa ambacho hakijakamilikandooo hii bei yake ni mil 6 wakiitoa wanaizika foldable ya samsung
Sent using Jamii Forums mobile app
kumbe.....sio kwamba ni concept tu ndo imebuma ambayo final release inakuwa perfectTayari imeshafeli, ni juhudi za haraka kukabiliana na samsung na matokeo yake wakatoa kifaa ambacho hakijakamilika
Kioo chake sio flat na kina mikunjo kunjo ili kiweze ku achieve 180° fold
Sijajua hilo, ila kwa kitu kinachoingia sokoni miezi 3 ijayo kama mpaka sasa hawana working protoype nzuri watafanya lini mass production?kumbe.....sio kwamba ni concept tu ndo imebuma ambayo final release inakuwa perfect
Sent using Jamii Forums mobile app
Si kweli makampuni mengi makubwa yame castomise sana android features nyingi tuu ndio maana kuna huduma zipo kwenye samsung au sony au lg na huawei na hazipo kwenye tecno yenye version hiyo hiyo ya androidn
Hawajaweza kabisa ku optimise system isitafune battery haraka yani. Thats what keeping me from buying Shamesung phones. My bet for Sony X1 anytime!
Walishazindua os ya foldable phone kabla hardware haijazinduliwa. Mwaka jana mwezi wa 11 ndio walizindua one ui. Ukiangalia ile event ndio walionesha namna software inavyo adapt kioo kikubwa na kidogo na hata matumizi kwa kutumia mkono mmoja kwenye simu za vioo vikubwa.Nimeangalia Samsung wenyewe wanaonesha hiyo foldable phone , hamna app waliyoonesha ya maana itakayo take advantage ya foldable . Zaidi ya kufunga na kufungua hamna kitu cha ziada kilichooneshwa.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Compare samsung na Huawei, sasmung wapo vizuri kwenye ku optimise battery, japo nakubali sony ni habari nyengine inapokuja kwenye ku optimise battery.Hawajaweza kabisa ku optimise system isitafune battery haraka yani. Thats what keeping me from buying Shamesung phones. My bet for Sony X1 anytime!
Bei kubwa halafu hakuna la maana, hapo kwenye $2000 unanunua simu na tablet au convertible pc
Sent from my iPhone using JamiiForums
Youtube pia kuna story za vijiweni mkuu.Pitieni hapa
Hakuna cha Samsung, Huawei wala Sony
Kitu Lenovo and Drasphone nimezikubali sanaView attachment 1032886
ᴾᵘⁿⁱˢʰ ᵒⁿˡʸ ʰᵉ ʷʰᵒ ᶜᵒᵐᵐⁱᵗᵗᵉᵈ ᵗʰᵉ ᶜʳⁱᵐᵉ✓
Walishazindua os ya foldable phone kabla hardware haijazinduliwa. Mwaka jana mwezi wa 11 ndio walizindua one ui. Ukiangalia ile event ndio walionesha namna software inavyo adapt kioo kikubwa na kidogo na hata matumizi kwa kutumia mkono mmoja kwenye simu za vioo vikubwa.
Angalia kipande hikiNipe link niichek, maana nililoliona juzi ni simu mbili zimeunganishwa. Kuiponda notch kote Leo na wao wanakuja na notch . Samsung si kampuni ya kuiamini wanapenda kufanya vitu nusu nusu na gimmick kuwarubuni wateja lakini ukiangalia kwa undani value hamna
Sent from my iPhone using JamiiForums
Half baked shitNipe link niichek, maana nililoliona juzi ni simu mbili zimeunganishwa. Kuiponda notch kote Leo na wao wanakuja na notch . Samsung si kampuni ya kuiamini wanapenda kufanya vitu nusu nusu na gimmick kuwarubuni wateja lakini ukiangalia kwa undani value hamna
Sent from my iPhone using JamiiForums
Utapeli huu😀😀😀Angalia kipande hiki
Kwa video zaidi search sdc18 youtube.
Na sidhani kama samsung anarubuni watu bali ndio mama wa innovations kwa sasa nitakupa mifano.
-storage zake za ufs ndio zinatumika karibia highend zote, simu haikamiliki na kuitwa flagship ikiwa haina hizi memory.
-vioo vyake vya amoled ndio best
-ram zake zinatumika karibia simu zote.
Hio foldable phone ifikirie kama prototype kwa sasa kila miaka itaimprove.
Hata kipindi samsung anatoa note 1 watu walikuwa wanaponda simu kubwa ila sasa hivi kila mtu anatengeneza simu kubwa.
Angalia kipande hiki
Kwa video zaidi search sdc18 youtube.
Na sidhani kama samsung anarubuni watu bali ndio mama wa innovations kwa sasa nitakupa mifano.
-storage zake za ufs ndio zinatumika karibia highend zote, simu haikamiliki na kuitwa flagship ikiwa haina hizi memory.
-vioo vyake vya amoled ndio best
-ram zake zinatumika karibia simu zote.
Hio foldable phone ifikirie kama prototype kwa sasa kila miaka itaimprove.
Hata kipindi samsung anatoa note 1 watu walikuwa wanaponda simu kubwa ila sasa hivi kila mtu anatengeneza simu kubwa.
Umejuaje hakuna deep programing na site nyingi nilizoona wamereview one ui wanaisifia. Na umetaja feature moja tu hapo, kuna mambo mengi inafanya zaidi.Nafikiri sitakosea hii one ui nikiita reachability, wame organise interface ili mtu aweze kufikia baadhi ya vitu kwa urahisi ukichukulia kwamba simu za siku hizi ni kubwa. Hamna deep programming hapo
Kitu chochote ambacho hakitengenezwi kwa mass volume kinakuwa ghali, gharama za kufanyia tafiti, mishahara etc haziwezi lipwa na units kama 10,000 mpaka hizo simu ziwe mainstream usitegemee kuwa rahisi, nakupa mifano zaidi.Hapo kwenye foldable kama prototype ndo nilipo hapo. Prototype inauzwa dola 2,000. Why wasiwekeze kwanza wakatoa kitu kizuri yan foldable ikawa kweli foldable kuliko kuunga two phones na kuiita foldable. Nimeangalia foldable ya huawei it’s almost the same thing hawa watu wanafanya
Vitu vyote ulivyotaja ni option hakuna hata kimoja ulicholazimishwa, mfano simu ikiwa na iris scanner usioipenda ni lazima kuitumia? Si unaieka tu off kwenye settings na kuendelea kutumia pattern ama password? Same kwenye hio s4 ilikuwa ni optional tu. Na pia si kila technology imetengenezwa kwa ajili ya watu wote kama kitu unaona hakiendani na matumizi yako unakiacha na kutafuta unachokipenda.Samsung wana tabia ya kutoa vitu nusu nusu mfano ni iris scanner zao za mwaka juzi na mwaka jana practically zilikuwa mbaya sana achilia mbali zile fake gesture features walizowahi kuweka kwenye zile S4 kama sijakosea. Hii foldable tukubali tukatae ni marketing tu lakini design na ufanyaji kazi ni bora mtu anunue simu moja inc 6 au 7. Kwangu mimi ni bora kusubri mpaka technology ifike hapo ndo utoe bidhaa ili kulinda hata wale wateja wanaofuata mkumbo.
Subiria reviews kwanza za hio foldable software kisha ndio ulalamike vizuri.Wanahitaji kuwekeza kwenye software, kuanzia in-house mpaka kwa developers, ni kazi ngumu na inahitaji akili lakini inawezekana
Sent from my iPhone using JamiiForums