nziriye JF-Expert Member Joined Jan 23, 2011 Posts 1,050 Reaction score 365 Feb 19, 2011 #1 Tumetengeneza ringtone mpya ,na anayehitaji andika neno GONGO acha nafasi andika MBOTO kisha tuma kwenda JESHI malizia na alama ya # ,hapo utapokea milio ya mabomu ktk simu yako ,je unahitaji hyo ringtone mpya ama ?
Tumetengeneza ringtone mpya ,na anayehitaji andika neno GONGO acha nafasi andika MBOTO kisha tuma kwenda JESHI malizia na alama ya # ,hapo utapokea milio ya mabomu ktk simu yako ,je unahitaji hyo ringtone mpya ama ?
Susy JF-Expert Member Joined Feb 5, 2011 Posts 1,431 Reaction score 221 Feb 19, 2011 #2 ah ahahaaaaaaaaaaaaaa
nziriye JF-Expert Member Joined Jan 23, 2011 Posts 1,050 Reaction score 365 Feb 19, 2011 Thread starter #3 Susy said: ah ahahaaaaaaaaaaaaaa Click to expand... lol,nitumie phone namba yako niku2mie maujanja ya ma-ringtone ya mabomu ama unaogopa?
Susy said: ah ahahaaaaaaaaaaaaaa Click to expand... lol,nitumie phone namba yako niku2mie maujanja ya ma-ringtone ya mabomu ama unaogopa?
Kaka Sam JF-Expert Member Joined Jul 29, 2009 Posts 540 Reaction score 80 Feb 19, 2011 #4 Patam pale itakapoita usiku ukiwa ucngzn maana hutajua kama ni sim tena, utakuja kumbuka ukiwa nje mwenyewe
Patam pale itakapoita usiku ukiwa ucngzn maana hutajua kama ni sim tena, utakuja kumbuka ukiwa nje mwenyewe
Lady N JF-Expert Member Joined Nov 1, 2009 Posts 1,914 Reaction score 134 Feb 19, 2011 #5 hizo ringtone hapana, unaweza kujipa pb na shel juu