BansenBurner
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,809
- 5,784
Naona chuki yangu kwa Domo inaondoka taratibu!!!... sasa naanzaje kuchukia video kama hiyo sasa???
Ahsante sana mkuu. Better late than never..
sawa lakini hiyo haimaanishi Kiba mbovu ingawa ana matatizo yake yanayotukwaza sisi mashabiki wake!mi sio shabiki maandazi!!domo yuko juu kikukweli hata the way anavofanya kazi unaona kabisa huyu sasa anahama hizi level za kibongo bongo!... nikuambie kitu?? wakati domo anavuka boda kufanya shooting kali kama hizo, Leo Kiba alikua pale viwanja vya benjamini Mkapa anacheza ndondo na watoto wa mtaani!!... kaniboa kweli huyu jamaa leo!! upo bize na ndondo halafu unataka kupambana na domo kwenye mziki??
wimbo mzuri nimependaje video
hongera chibu
nimeiangalia hii video mara saba nimegundua ni nyimbo itapendwa zaidi tena audio!
Kijana yuko vizuri hakika!
muite na sakafu aje ashuhudie hili gomanimeiangalia hii video mara saba nimegundua ni nyimbo itapendwa zaidi tena audio!Kijana yuko vizuri hakika!
Naona chuki yangu kwa Domo inaondoka taratibu!!!... sasa naanzaje kuchukia video kama hiyo sasa???
Hii video inavutia na audio inachezeka, anastahili pongezi.nimeiangalia hii video mara saba nimegundua ni nyimbo itapendwa zaidi tena audio!
Kijana yuko vizuri hakika!
muite na sakafu aje ashuhudie hili goma
Ni watani wangu, huwa tunapena changamoto napenda waje watoe kasoro au wapongeze kama ikibidi.Naona humu wanachungulia tu nakupita mana humu watu wamekubali kazi"
Hii video inavutia na audio inachezeka, anastahili pongezi.