New Release Diamond ft Mr. Flavor

Duh. Wenzetu mna moyo. Dume zima linasikiliza nyimbo za Diamond? Mabinti wa form two je?
 

U cant fight talents and favor,D stand as pioneer of international muzik
 
This dude knows what he is doing. Keep on shining Diamond!
 
kichupa hadi muda huu kina viewers kama laki 5 na ujinga
 
Sawa diamond simpend toka moyon, vile anavyoishi nkadharika ila linapokuja suala la kazi domo ni mtu mwingne ni mfano wa kuigwa...
 
Nnacho mpendea Diamond bana anajua kuwa keep busy followers wake kwenye social network
 
Mmmmhhhhhh me nlichokisikia sana ni ooooooohhh nana na nncccccc...! Sijaelewa hivi huyu jamaa hamna siku anatoa nyimbo yakuelimisha jamii zaidi ya love scenarioz..! Alafu wengi wanopenda mziki wake basii ukichunguza utakuta alishateshwa au ananyanyashwa na mapenzi..! Dats a pure Truth
 

Utakua una matatizo.... King wenu mwenyewe alishasema mapenzi yana run dunia...
 
Utakua una matatizo.... King wenu mwenyewe alishasema mapenzi yana run dunia...

King gani...? Absolutely yana run but mapenzi ulaya bongo ni bussness..! Soo abadilike zile pigo za nncccccc kama bedrock me nashindwa kuelewa kabisa...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…