Nafikiri muanzisha mada, hajui anachokiongea wala hajui process ya kufanya shortlisting inafanywaje? Ngoja nikueleweshe vizuri;
Nikupe mfano mdogo tu, kuna kazi sisi tulitangaza majuzi. Mpaka leo tuna applications 650, na deadline haijafika bado. ili kutoa equal opprtunity for all ambao wanafiti kwenye initial competency guideline ni lazima tuite kama mia hivi kwenye aptitude.
- Kitu cha kwanza tunachofanya kabla hata ya kutangaza hizo kazi ni kutengeneza competency mapping ambayo itakuwa inaguide kwenye first stage selection of the applicants. Sasa wakati mwingine unawaza kukuta ambao wanafit inn kwenye hizo comptency ni 100. What do you do? do you call all of them for the oral interview?
- That is why many organisations nowdays they conduct APT test, TPT test etc - the aims of these is to get to know more about hao candidates and identfy the best in terms of their thinking ability, ability to solve problems and think out of the box.
nyie wenyewe ndio huwa mnalalamika kwanini mimi sijaitwa, mbona yule ameitwa na qualifications zetu ni sawa.
Mkuu ni ofisi gan hyo? Inawezekana application yangu ipo hapo,lol! Naomba kuuliza hivi ikitokea nafas ya kaz imetangazwa wanahitaj watu 10 mfano na application ziko 7 watawachukua hao watu wote au wanafanyaje? Na inakuaje nafas ya kazi inakuwa re advertised? Ina mana hakuna mwenye vigezo aliyeomba?
Mkuu ni ofisi gan hyo? Inawezekana application yangu ipo hapo,lol! Naomba kuuliza hivi ikitokea nafas ya kaz imetangazwa wanahitaj watu 10 mfano na application ziko 7 watawachukua hao watu wote au wanafanyaje? Na inakuaje nafas ya kazi inakuwa re advertised? Ina mana hakuna mwenye vigezo aliyeomba?
Struggle for the fittest! To me it is a good practice as it provides equal chances for every one to be recruited provided there is no corruption.
bwana ee!!! kuhudhuria interviews nayo ni shule..unafaidika kwa sana tu..kwani unapata exprience ya kutosha..baada ya kufanya interview nyingi then one day utapata tusikubaliani na wewe...kama ni hivyo wangesema tu kutakuwa na interview anaetaka aje,sio professional kuita watu 500 kwa chance moja hata wewe unaajiri unataabika bure tu
Not only the fittest but also the brave!Struggle for the fittest! To me it is a good practice as it provides equal chances for every one to be recruited provided there is no corruption.
A thousands,individuals? Time management,costs and fatigue to panel/recruiment committeeStruggle for the fittest! To me it is a good practice as it provides equal chances for every one to be recruited provided there is no corruption.
Kwenye underlined,umemaanisha nini,mkuu? Tungo tata.Anamegwa au?hii kitu ya watu 200 kwa nafasi 1 moja ni danganya toto! kuna frnd of mine tumemaliza nae ths year anachukuliwa na mkubwa mmoja pale NSSF, jamaa kamwambia wote walio apply wataitwa, 1st interview itakua written, itafanyika UD, multiple choice maswali kumi, jst wait you will see! siku ukitoka kwenye interview njoo uniulize hapa hapa jamvini. inshort nchi inanuka rushwa. jamaa tayari wana watu pale.
hii kitu ya watu 200 kwa nafasi 1 moja ni danganya toto! kuna frnd of mine tumemaliza nae ths year anachukuliwa na mkubwa mmoja pale NSSF, jamaa kamwambia wote walio apply wataitwa, 1st interview itakua written, itafanyika UD, multiple choice maswali kumi, jst wait you will see! siku ukitoka kwenye interview njoo uniulize hapa hapa jamvini. inshort nchi inanuka rushwa. jamaa tayari wana watu pale.