New numbers

Opticf

Member
Oct 4, 2012
62
4
Inakuwaje number inakubeep ukipiga wanakwambia number hyo haipo ichunguze na upge tena
 
Imefanyiwa diversion (Kwa mfano ukifanyia diversion namba yako kwa 1234 au namba nyingine yoyote isiyotambulika kwenye mawasiliano ya simu itakwambia hivyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom