Freelancer Wakala
JF-Expert Member
- Feb 6, 2016
- 1,193
- 828
wanamuziki Harmonize_tz ambaye anafanya kazi chini ya lebo ya @DiamondOlatnumz WCB( wasafi)ameachia video ya wimbo wake mpya@Niambiei ambayo amemtumia mwigizani na mpenzi wake,Jacklin Wolper kama queen video.
Don't miss it! (Siyo ya kukosa!!!)