New Methali Updates

New Methali Updates

badshah

Member
Joined
Mar 16, 2013
Posts
51
Reaction score
33
Samaki mkunje ............ mpaka anye!!

Siku za mwizi .............. inategemea kama ni mwanaume hana siku.

polepole ndiyo ............ slow motion

asiyesikia la mkuu .......... ana phone masikioni

aliye juu ................ mlenge na manati atashuka

mtaka cha uvunguni ................ toa godoro utakiona

Samaki mmoja akioza ............... mkaushe na tangawizi umbanike.

kama unazo jazia jazia hapa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom