Abuy Haroun Lateef Member Joined Jan 26, 2020 Posts 23 Reaction score 7 Jan 26, 2020 #1 Assalam Alykum warahmatullah? Mambo vipi wadau? Napatikana; Tanga Tz Nafurahi nami kujiunga na jf Ushirikiano wenu kwangu muhimu. Shukrani nyote. Sent using Jamii Forums mobile app
Assalam Alykum warahmatullah? Mambo vipi wadau? Napatikana; Tanga Tz Nafurahi nami kujiunga na jf Ushirikiano wenu kwangu muhimu. Shukrani nyote. Sent using Jamii Forums mobile app
Asprin Platinum Member Joined Mar 8, 2008 Posts 68,302 Reaction score 96,516 Jan 26, 2020 #2 Abuy Haroun Lateef said: Assalam Alykum warahmatullah? Mambo vipi wadau? Napatikana; Tanga Tz Nafurahi nami kujiunga na jf Ushirikiano wenu kwangu muhimu. Shukrani nyote. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Tafadhali wasiliana na mjukuu wangu joanah ukimtaarifu jinsia yako, umri, marital status na kama hujaathirika na wadudu.... Hii ni kwa ajili ya kumbukumbu za kifamilia
Abuy Haroun Lateef said: Assalam Alykum warahmatullah? Mambo vipi wadau? Napatikana; Tanga Tz Nafurahi nami kujiunga na jf Ushirikiano wenu kwangu muhimu. Shukrani nyote. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Tafadhali wasiliana na mjukuu wangu joanah ukimtaarifu jinsia yako, umri, marital status na kama hujaathirika na wadudu.... Hii ni kwa ajili ya kumbukumbu za kifamilia
Joanah JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 26,250 Reaction score 96,603 Jan 26, 2020 #3 Asprin said: Tafadhali wasiliana na mjukuu wangu joanah ukimtaarifu jinsia yako, umri, marital status na kama hujaathirika na wadudu.... Hii ni kwa ajili ya kumbukumbu za kifamilia Click to expand... Sijaona ukimtaarifu kuhusu kunikabidhi kiingilio...ama ushapiga kimya kimya we mzee?
Asprin said: Tafadhali wasiliana na mjukuu wangu joanah ukimtaarifu jinsia yako, umri, marital status na kama hujaathirika na wadudu.... Hii ni kwa ajili ya kumbukumbu za kifamilia Click to expand... Sijaona ukimtaarifu kuhusu kunikabidhi kiingilio...ama ushapiga kimya kimya we mzee?
Gemini Are Forever JF-Expert Member Joined Sep 10, 2019 Posts 1,599 Reaction score 2,902 Jan 26, 2020 #4 Karibu mgeni ila fanya kama alivyokwambia shaibu hapo kwenye post #2
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 44,314 Reaction score 129,992 Jan 27, 2020 #5 Karibu sana Sheikh JF. Jisikie uko nyumbani.
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,811 Reaction score 13,767 Jan 28, 2020 #6 Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT.
Shark JF-Expert Member Joined Jan 25, 2010 Posts 29,965 Reaction score 30,132 Jan 28, 2020 #7 Abuy Haroun Lateef, Karibu sana mkuu na kama ilivyo ada weka picha wadau tukujue Sent using Jamii Forums mobile app
Abuy Haroun Lateef, Karibu sana mkuu na kama ilivyo ada weka picha wadau tukujue Sent using Jamii Forums mobile app
F fahyma andrea New Member Joined Jan 31, 2020 Posts 4 Reaction score 2 Jan 31, 2020 #8 Asprin said: Tafadhali wasiliana na mjukuu wangu joanah ukimtaarifu jinsia yako, umri, marital status na kama hujaathirika na wadudu.... Hii ni kwa ajili ya kumbukumbu za kifamilia Click to expand... Welcome
Asprin said: Tafadhali wasiliana na mjukuu wangu joanah ukimtaarifu jinsia yako, umri, marital status na kama hujaathirika na wadudu.... Hii ni kwa ajili ya kumbukumbu za kifamilia Click to expand... Welcome
Asprin Platinum Member Joined Mar 8, 2008 Posts 68,302 Reaction score 96,516 Jan 31, 2020 #9 joanah said: Sijaona ukimtaarifu kuhusu kunikabidhi kiingilio...ama ushapiga kimya kimya we mzee? Click to expand... January hii mjukuu mpenzi
joanah said: Sijaona ukimtaarifu kuhusu kunikabidhi kiingilio...ama ushapiga kimya kimya we mzee? Click to expand... January hii mjukuu mpenzi