New member

Usitoe namba ya simu na kama Umetaja majina hapo bila kujua utaratibu tunaweza waomba Moderator wakazifuta comments ulizofaja majina......

Enjoy your life humu utapata mambo mengi sana ya kuelimisha na kufurahisha, pia ushauri ule pendwa ambao hupewa mabinti wanaopevuka uzingatie sio wote ni watu waziri humu....

Sent using Jamii Forums mobile app
Be blessed dear #Tanayzer.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom