Habari zenu wakuu mm mgeni natumaini tutashirikiana pamoja katika jamii hii nimefurah kuwepo hapa
Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app

Habari zenu wakuu mm mgeni natumaini tutashirikiana pamoja katika jamii hii nimefurah kuwepo hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Me? & ke?
Karibu
Picha
Jinsia
Namba
Na ulipo
Asante ndugu mjume kwa kuuliza maswali ya msingi kabisa.
Afu anabishaAsante ndugu mjume kwa kuuliza maswali ya msingi kabisa.
Kwa jinsi nilivyo soma majibu ya mgeni wetu, naomba kutanabaisha kwamba ni wazi huyu ni mwenyeji alie amua kuja na ID mpya......
Naomba kuwasilisha
Sent using Jamii Forums mobile app

Umeleta nini ili tushirikianeHabari zenu wakuu mm mgeni natumaini tutashirikiana pamoja katika jamii hii nimefurah kuwepo hapa
Sent using Jamii Forums mobile app