New member!

Jakubumba

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2011
Posts
1,624
Reaction score
501
Wasalaam magreat thinkers! Naomba mnikaribishe kwa mikono yote miwili na kwa moyo safi ili tuchangie mawazo katika jukwaa hili la siasa. Naomba nijue miiko ya humu ili nisije nikaivunja na kuadhibiwa maana najua kila sehemu kuna kanuni na taratibu!
Asanteni sana kwa moyo wenu wa kuijenga nchi yetu.
 
Karibu mkuu!

Ila hili si jukwaa la kujitambulisha. Kuna jukwaa maalum la utambulisho.

Karibu sana mkuu. Jitahidi pia usome sheria na kanuni za kutumia JF.
 
Karibu mkuu!

Ila hili si jukwaa la kujitambulisha. Kuna jukwaa maalum la utambulisho.

Karibu sana mkuu. Jitahidi pia usome sheria na kanuni za kutumia JF.

Asante sana nitajitahidi kufuata kanuni na taratibu!
 


Karibu sana Mkuu, we endelea kuchangia, mpaka wakupige ban ndo utajua kuna kanuni na taratibu za kufuatwa.

Wapo Mods wamekaa attentions!
 
Karibu sana, ili uishi kwa raha mustarehe humu ndani zingatia kanuni na sheria zetu!
 

Karibusana Mkuu, endelea kuchungulia, mna zaid ya siasa.
 

............kwa mikono miwili na moyo safi karibu sana JAKUBUMBA:welcome:,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…