New member: Ukisoma JF hata thread moja tu utake usitake utajiunga tu!

Huyu rarararerere sijui kapotelea wapi Mzee wa kulike!
 
Nashukuru Kukuona tena mkuu, Text ya kwanza kabisa kunikaribisha jamiiforum ni hii. 13 years hapa ndani umekuwa/unaendelea kuwa wakati bora sana hapa ndani....
Ni kama alipewa jukumu hili ni specialist wa kukaribisha wageni yuko vizuri!
 
Najizidisha 😀

una majirani wengi imebidi niruke kurasa za faili, naona hapa unasema ndugu yako anaomba achovye kimasihara!
Hiyo ilikuwa kitambo sana jamani na hata hivyo hakufanikiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…