Wakubwa zangu shikamooni, wengine wote za asubuhi.
Ndio mara yangu ya kwanza kupata ID ya JF nimeona niwasalimu na . Naombeni ushirikiano wenu, nimepata ID ila JF nimeijua tangu mwaka 2016 sema sikuwahi ona umuhimu wa kuwa na ID hivyo mimi ni mgeni mwenyeji