NEW!!medical examination form UDSM.

nasssen

JF-Expert Member
Aug 12, 2012
482
506
Wanajamvi habari zenu za saizi. bila kupoteza muda ni kwamba udsm wametoa medical examination form unayotakiwa kuidownload na kwenda kuijaza hospitalini au kwny kituo chochote cha afya kinachotambulika na serikali. pia unatakiwa ujaze nakala mbili za fomu hiyo ambapo moja itatumika kwny registration na nyigine kama kumbukumbu chuoni. form inapatikana hapa: www.udsm.ac.tz/announcements/announcement.php?id=501&intVariationID=1&szTitle=Current
 
wanafunzi wa udsm wote wanaijua website ya udsm sijajua kiherehere chako cha kila unachokiona kule unaleta hapa ni nini haswa
 
KINGXVI usipoweza kuchangia point kwenye kila thread i will always reward u 'A MIDDLE FINGER'!Mkale act ka great thinker cio kila thread unaongea mashudu!
 
2012-9-10-12-32-17_medical examination form_3_001.jpg
hiyo fomu iko hivi nainpatikana website ya chuo fuata hii link University of Dar es Salaam - Tanzania - Announcements - Announcements
 
Thanx 4 the gud info ma broz....just kp on updatin us achanen na huyo mwenye stress za kukosa uanachama wa UDSM...!
 
Back
Top Bottom