Important information for first year who admited to join udsm and its branches,muce and duce

scopio

Member
Aug 24, 2012
47
5
WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA CHUO KIKUU CHA UDSM PAMOJA NA MATAWI YAKE YAANI MUCE PAMOJA DUCE WANAARIFIWA KUWA TAYARI CHUO KIMESHATOA MAELEKEZO YOTE MUHIMU. MASUALA HAYO NI PAMOJA NA 1.TUITION FEES
2.JOIN INSTRACTION FORM
3.ACCOMODATION FEES
4.DIRECT COST WHICH COMRISE THE FOLLOWING(HEALTH SERVICE,STUDENT UNION FEES,AND
STUDENT IDENTITY CARD
5.INDIRECT COST WHICH COMPRISE MEAL SERVICE
6.MEDICAL EXAMINATION FORM
SO WANAFUNZI WANASHAURIWA KUTEMBELEA TOVUTI YA CHUO YAANI, www.udsm.ac.tz. ili kuweza kupata taarifa hizi zilizotolewa leo tarehe 13/09/2013.ili kuweza kupata taarifa fungua hiyo tovuti na kisha angalia upande wako wa kushoto mwishoni kwa juu utaoni tangazo lenyewe kisha fungua tangazo hilo. kila kitu kimeainishwa vizuri kabisa.kwa upande wa admition letter inapatikana chuoni moja kwa mojo na kamwe huwezi kuipata kwenywe website. pia wanafunzi wanashauriwa ku download moja kwa moja form kama vile , MEDICAL EXAMINATION FORM PAMOJA NA JOIN INSTRACTION FORM na kuzijaza form hizo. ila si lazima kufanya hivyo kwani form zote mtapatiwa chuoni pindi tu mwanafunzi anaporipoti. kujaza form kama vile ya afya huwa inapunguza usumbufu kwani inakubalika kufanya hivyo ila hospital utakayojazia form hiyo iwe inatambulika na serikali. join instraction form pia waweza kudownload na kuijaza ila kuna baadhi ya sehemu huwa zinasumbua kujaza, hivyo waweza kuwa nayo tu ili kujionea vitu vya msingi vilivyomo ili ufikapo chuoni uwe na mwanga kidogo. so kwa hayo machache na fikiri yatawasaidia , nawatakia jioni njema. by scopio from udsm (pspa).solidarity forever.
 
Stay blessed scopio..,.!!!!
 
Safi sana kaka scopio,hii kitu imekaa poa sana...keep on up-dating vital news for us...
"Wisdom is freedom"
"Hekima ni uhuru"
 
Last edited by a moderator:
WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA CHUO KIKUU CHA UDSM PAMOJA NA MATAWI YAKE YAANI MUCE PAMOJA DUCE WANAARIFIWA KUWA TAYARI CHUO KIMESHATOA MAELEKEZO YOTE MUHIMU. MASUALA HAYO NI PAMOJA NA 1.TUITION FEES
2.JOIN INSTRACTION FORM
3.ACCOMODATION FEES
4.DIRECT COST WHICH COMRISE THE FOLLOWING(HEALTH SERVICE,STUDENT UNION FEES,AND
STUDENT IDENTITY CARD
5.INDIRECT COST WHICH COMPRISE MEAL SERVICE
6.MEDICAL EXAMINATION FORM
SO WANAFUNZI WANASHAURIWA KUTEMBELEA TOVUTI YA CHUO YAANI, www.udsm.ac.tz. ili kuweza kupata taarifa hizi zilizotolewa leo tarehe 13/09/2013.ili kuweza kupata taarifa fungua hiyo tovuti na kisha angalia upande wako wa kushoto mwishoni kwa juu utaoni tangazo lenyewe kisha fungua tangazo hilo. kila kitu kimeainishwa vizuri kabisa.kwa upande wa admition letter inapatikana chuoni moja kwa mojo na kamwe huwezi kuipata kwenywe website. pia wanafunzi wanashauriwa ku download moja kwa moja form kama vile , MEDICAL EXAMINATION FORM PAMOJA NA JOIN INSTRACTION FORM na kuzijaza form hizo. ila si lazima kufanya hivyo kwani form zote mtapatiwa chuoni pindi tu mwanafunzi anaporipoti. kujaza form kama vile ya afya huwa inapunguza usumbufu kwani inakubalika kufanya hivyo ila hospital utakayojazia form hiyo iwe inatambulika na serikali. join instraction form pia waweza kudownload na kuijaza ila kuna baadhi ya sehemu huwa zinasumbua kujaza, hivyo waweza kuwa nayo tu ili kujionea vitu vya msingi vilivyomo ili ufikapo chuoni uwe na mwanga kidogo. so kwa hayo machache na fikiri yatawasaidia , nawatakia jioni njema. by scopio from udsm (pspa).solidarity forever.

Be blessed,thanks man of the people,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,pamoja sana
 
Back
Top Bottom